Sign up here with your email
UKARIBU WA MBAPPE NA NEYMAR WAANZA KUTOA TASWIRA MPYA NDANI YA PSG
Mshambuliaji raia wa ufaransa ambaye ameuzwa kwa mkopo kwenye klabu ya PSG amefanya mazoezi kwa mara ya kwanza akiwa na kikosi hicho huku akionekana kuwa karibu na mchezaji ghali duniani raia wa Brazil Neymar jr.
Kwa sasa klabu ya PSG ndio inaongoza kuwa na forwads ya bei ghali duniani baada ya kutua kwa Kylian Mbappe na Neymar huku uwepo wa Edson Cavan ukiwa chachu ya kuongeza ubora wa kikosi hicho ambacho kipo chini ya matajiri kutoka nchi ya Qatar.