Angalia matukio mbalimbali yaliyojiri shuleni choba.
kabla ya mahafali kuanza.
Baba mzazi na Mchungaji wa kanisa la EAGT Pangani (Mch Naftal Msoloka) nae alihudhuria kwenye sherehe hiyo.
Wageni mbalimbali wakitembelea maonyesho yaliyoandaliwa na Shule ya Choba.
Wahitimu wakiingia uwanja wa sherehe.
Mgeni rasmi Bw. Leonald Mpemba akikata Utepe.
Bi Rehema Semtibua akifuatilia jambo.
Mwanafunzi Marry Msoloka na msaidizi wake Zena, Wakisoma shairi.
Maigizo ya kuelimisha yakiendelea.
Wahitimu wakifanya yao.
Mtoto Joan Mahiza akitoa zawadi kwa mwalimu mkuu na meneja wa shule hiyo
wamehuzuria wengi
Mgeni rasmi akiongea jambo kwenye sherehe hiyo.
Muhitimu Marry Msoloka
ZAWADI NA MAMBO YA KEKI YAKIENDELE KWA MTOTO NA MUHITIMU WA DARASA LA SABA MARRY MSOLOKA
Sign up here with your email