Sign up here with your email
Morgan Heritage wafurahishwa na mafaikio ya Hallelujah ya Diamond Platnumz,ni namba #1 katika Nchi NNE ambazo ni Kenya, Tanzania, Zimbabwe Na Uganda.
Kundi la wasanii wa muziki wa Reggae wanaofanya kazi kama Band ya Reggae maarufu kama Morgan Heritage limefirahisha na mafanikio makubwa ya colabo yao na Diamond Platnumz kutokana na Video ya wimbo huu Kushika Number Moja kwenye nchi Nne Africa ambazo ni Kenya, Tanzania, Zimbabwe Na Uganda.
Kupitia Twitter yao Morgan Heritage waliandika >Thanks for all the support from our beloved fans & media #Hallelujah @diamondplatnumz ft @morganheritage trending across Africa Nakutag album yao ya mwaka huu iliyopewa jina #Avrakedabra ambayo kwa sasa inashika namba 5 kwenye chati za billboard za muziki wa Reggae ikiwa kwenye chati hizo kwa wiki ya 14 sasa.