Akipiga stori na ukurasa huu Msanii chipukizi kutoka
nyanda za juu kusini(njombe) Dnax amesema hamuogopi mtu kwenye game kwani kila
mtu ana uwezo wake.
“Hakuna msanii ninaye muogopa kila mtu anauwezo
tofauti,naamini nina upekee wangu”aliseme dnax.
Msanii huyo ambaye anauwezo wa kuimba mziki wa aina
mbali mbali kama vile Afropop,zouk,RnB
na bongo fleva amesema kwasasa anampango wa kuachia ngoma mpya ndani ya mwezi
huu wa kumi na amejipanga vilivyo kuhakikisha kazi atakayo ifanya inadumu
masikioni mwa watu.
Kwa sasa dnax anawimbo unaofahamika kwa jina la Tell
me.
Sign up here with your email