1.mweupe kabisa usio na rangi
-Unakunywa maji mengi
2.manjano ilio changanyika na kijani kidogo
-Ni kawaida una afya na mwili wako una maji ya
kutosha
3.Manjano ilio pauka
-upo kawaida tu endelea kunywa maji ya kutosha
4.Njano ilio kolea
-upo kawaida lakini una shauriwa kunywa maji ya
kutosha
5.njano inayokaribia kufanana na kahawia(rangi kama
ya asali)
-mwili wako hauna maji ya kutosha,kunywa maji kwa
wingi sana.
6.Rangin ya kahawia
-huwenda una matatizo kwenye ini lako au una
upungufu mkubwa wa maji mwilini.Kunywa maji ya kutosha na umuone daktari kama
hali hii itaendelea.
7.Rangi ya pink inayo karibia kuwa kama
nyekundu.kama hujala matunda yoyote yenye asili ya uwekundu basi huwenda una damu kwenye kibofu cha mkojo.Inawezekana
ikawa sio ishara mbaya lakini inaweza ikawa ishara ya ugonjwa wa figo,uvimbe,matatizo
kwenye njia ya mkojo au matatizo kwenye kibofu.Muone daktari haraka
iwezekanavyo.
Sign up here with your email