Kupitia IG Yake Hamisa Mobetto ambaye kwa sasa anazungumzia sana Tanzania na Afrika Mashariki kama The new Baby Mama wa Diamond Platnumz ametajwa kuwania tuzo za Starqt nchini South Africa Hamisa amechaguliwa kuwania tuzo mbili kwenye Category mbili ambazo ni