msikie snura anacho sema kuhusu mavazi yake

Msanii Snura Mushi ambaye hivi karibuni alikiri kuwa hawezi kuacha kuvaa nguo za utupu anapokuwa kwenye kazi zake akitafuta ugali wa watoto wake, amekanusha kitendo hicho na kusema hajawahi kuvaa nguo ambazo hazifai kwa jamii kwenye show zake
Akizungumza na mwandishi wa East Afrika Television, Snura amesema mara nyingi amekuwa msanii ambaye anajistiri sana anapokuwa jukwaani, lakini kwenye suala la kukata mauno hawezi pinga kwani ndio kipaji chake.
Snura ameendelea kwa kusema kwamba kitendo hicho hakijatokea na hakitakuja tokea kwenye maisha yake ya muziki.

Previous
Next Post »