Najipanga vizuri kwenye game kuhakikisha nampita role model wang-Kisamaki.

Msanii kutoka kwa mkubwa na wanawe anae fanya vizuri na ngoma yake ya mtoto wa udongo amesema amejipanga kufanya mziki mzuri kumpita role model wake (aslay) lengo ni kutofanana kiuimbaji Akizungumza na ukurasa huu kisamaki amesema anawakubali wasanii wengi sana lakini aslay ndiye anaye muelewa zaidi hivyo amedhamiria kufanya mziki mzuri aweze kufika mbali zaidi. Mbali na hayo mkali huyo wa mtoto wa udongo anaomba sana support kwa mashabiki kwa ku_-request ngoma kwenye vituo vya radio mbali mbali na kwa kudownload ngoma yake.
Previous
Next Post »