Hamisa mobetto ajifungua kidume cha shoka.

Hamisa Mobetto amejifungua mtoto wa kiume Jumanne hii, August 8. Mtoto huyo kwa sasa anamtambulisha kama Baby Dee. Ametumia Instagram kushare habari hiyo njema.


Previous
Next Post »