Kuhusu baba wa mtoto wa Hamisa Mobetto, Soudy kaongea na Mama Hamisa…

NA STEVE CHAMPION
U heard ya XXL ya Clouds FM leo August 11, 2017 mtangazaji Soudy Brown amepiga stori na Hamisa Mobetto na mama mzazi wa Hamisa baada ya kujifungua mtoto wa kiume huku ikidaiwa kuwa mtoto huyo ni wa mwimbaji Diamond Platnumz. Soudy Brown ameongea na mama Hamisa ambaye hakuweza kumaliza mazungumzo baada ya kukata simu na baadaye Soudy alimpigia Hamisa. ”Nikusaidie nini? Tunaendela vizuri na mtoto mchanga na mama yupo mzima kabisa. Alijifungua kawaida si mwanamke. Soudy umenipigia kuniuliza Hamisa kazaaje ama? Sisi tupo Mbagala kwa mama yangu. Kwa leo siwezi kuongea muda ukifika nitaongea”. – Mama Hamisa. “Soudy achana na mimi.” – Hamisa Mobetto.
AMISSA NA MAMA YAKE
Previous
Next Post »