Kwa mara ya kwanza emiliana Msoloka akuletea wimbo/mziki mzuri wa injili wenge kukupa upako wa hali ya juu na kukufanya ujione bado unastahili kuwepo kwani Mungu bado anakusimamia siku zote.
kuna wanaosema furaha zao ni pale watakapo pata mke au mume, watoto, nyumba, gari, kazi lakini kwa Miss Emiliana ni tofauti kwani furaha yake inatoka kwa Baba aliye Mbinguni.
Basi nawe furaha yako fahamu kuwa inatoka kwa Mungu aliye hai.
Sign up here with your email