Sign up here with your email
Busu la mdomo kati ya Irene Uwoya na Dogo Janja kwenye harusi yao
Picha hii imekuwa miongoni mwa ushahidi mkubwa kuwa msanii wa muziki Dogo Janja na msanii wa filamu Irene Uwoya ni mtu na Mke wake.
Ikiwa bado kuna watu wanamashaka na jambo hili, wakidai ni video au filamu mpya ya Irene au staa mwingine wa filamu, mpaka sasa walichoonyesha jamii ni kuwa Dogo Janja na Irene ni mtu na mpenzi wake.