Irene Uwoya ameweka wazi kuwa ana furaha sana kuwa mke wa Dogo Janja na kwamba ndio mwanaume wa ndoto zake.
Kupitia Instagram Irene Uwoya aliandika >I married the man of my dreams. I’m still crying happy tears. @dogojanjatz …I love you & am excited to spend the rest of my life with you >Akimaanisha “Nimefunga ndoa na mwanaume wa ndoto zangu, bado ninalia machozi ya FURAHA na ninafuraha kuishi na wewe maisha yangu yote“.