Justin Bieber sio chanzo cha The Weeknd na Selena Gomez kubwagana

Imeripotiwa The Weeknd aliachana na Selena Gomez wiki chache zilizopita na kuwa Justin Bieber sio chanzo cha penzi lao kufa
TMZ wanasema mahusiano ya The Weeknd na Selena yaliisha baada ya majira ya joto nchini Marekani, ila bado ni marafiki na wanaongea kama kawaida.
Kutokana na ukaribu mpya wa Justin Bieber na Selena, palikuwa na stori kuwa Justin ndio chanzo cha Selena kuachana na The Weeknd.
Hivi karibuni Selena alikuwa mgonjwa baada ya kufanyiwa upasuaji wa figo.
Previous
Next Post »