Mnyamwezi
Tyga au unaweza kumuita
Kinggoldchains anakuja na style ya pekeake katika kusherehekea siku ya kuzaliwa tofauti na tulivyozoea kutoka kwa mastar kibao.
Tyga ameamua kuandaa kitu kinachoitwa
Birthday Tour na kuzunguka katika nchi sita duniani na kula bata na mashabiki zake.
Kinggoldchains atadondoka katika nchi ya
FIRENZE+
LONDON +
MILAN +
DUBAI +
PARIS na atamalizia
MIAMI.
Kwa mchongo huo unaambiwa
Tyga anaweza kupiga mkwanja mrefu ndani ya muda mfup
Sign up here with your email